top of page

Nimeishi Gasorwe
Karibuni. Nimeishi Gasorwe ni sehemu ambyo tunapatia kila mtu nafasi kutowa ushuhuda wake ili aweza kueleza kadiri tunavyoruhusiwa na sheria za Nchi na za UN kuhusu maisha yake na yote aliyoyabitia katika Kambi ya Gasorwe. Kwa wewe uliyeishi au bado unaishi katika Kambi ya Gasorwe unakaribishwa sana . Hapa pia tunaonesha wale waliyofanikiwa kwa njia moja au nyingine wakiwa bado Gasorwe au mahali pengine pote. Kwa hiyo wasilianeni nasi ili kupata maelekezo zaidi kwa jinsi ya kutuma ushuhuda wenu.
bottom of page