top of page
  • White Facebook Icon
  • White Twitter Icon
  • White YouTube Icon
  • White Instagram Icon
Ayivugwe Kabemba aelezeya kuhusu mradi wetu wa Weka Gasorwe
02:19
Ayivugwe Kabemba aelezeya kuhusu mradi wetu wa Weka Gasorwe
Ayivugwe Kabemba aelezeya kuhusu mradi wetu wa Weka Gasorwe
Kambi ya Gasorwe
04:49
Kambi ya Gasorwe
Weka Gasorwe ni mradi ambao unatuwezesha kuweka habari mbalimbali za kambini Gasorwe. Sisi tumeishi katika kambi ya Gasorwe na kwa wamoja wetu tunapaita nyumbani. Kwa hiyo, sababu tumepaishi na tuna mengi ambayo tunaweza kuweka na pia kukumbuka ni vema tufanye hivyo. Mtu bila historia ni kama mti bila mizizi.

Kwa shida yako yote, pata mashauri hapa

Usifikiriye kuweka mwisho kwa maisha yako kwa ajili ya shida. Pata mashauri mbalimbali na shuuda nyingi upate kuelewa jinsi waweza ukajiponya katika shida.

bottom of page