Pata habari zote zinazohusu Weka Gasorwe
Weka Gasorwe ambayo ilianza ikiitwa Nikumbuke - Weka Kumbukumbu, ni mradi ambao ulibuniwa ili kuwezesha watu kuweka habari mbali kuhusu watu, vitu na mahali.
Kwa sasa tunahusika na Kambi ya wakimbizi ya Gasorwe, Muyinga, Burundi.
Walioishi katika kambi ya Gasorwe hatutawasahau pia.
Ni wengi waliopitia katika Kambi yetu ya Gasorwe. Viongozi, shule yetu ya msingi na ya sekondari. Walimu kwa wanafunzi,Wadau mbalimbali, ...

Video ya Kikao chetu cha kwanza
Tulifanya kikao chetu cha kwanza ili kueleza na kupata maelezo zaidi kuhusu malengo na maelekeo ya mradi wetu huu Nikumbuke Weka Kumbukumbu ambao uligeuka ukawa Weka Gasorwe. Tukikuwa kundi ndogo tu la watu bali tulifahamishana haya na yale kuhusu mradi wetu.
Team yetu
Mradi huu Weka Gasorwe ulipoanza kama Nikumbuke Weka Kumbukumbu, ulianzishwa na Fr. Ayivugwe Kabemba.
Kwa sasa tuna wengine wengi wanaosaidia kwa amaendeleo ya mradi wetu.