top of page
  • White Facebook Icon
  • White Twitter Icon
  • White YouTube Icon
  • White Instagram Icon
Ayivugwe Kabemba aelezeya kuhusu mradi wetu wa Weka Gasorwe
02:19
Weka Gasorwe
Ayivugwe Kabemba aelezeya kuhusu mradi wetu wa Weka Gasorwe
Ayivugwe Kabemba aelezeya kuhusu mradi wetu wa Weka Gasorwe
Kambi ya Gasorwe
04:49
Weka Gasorwe
Kambi ya Gasorwe
Weka Gasorwe ni mradi ambao unatuwezesha kuweka habari mbalimbali za kambini Gasorwe. Sisi tumeishi katika kambi ya Gasorwe na kwa wamoja wetu tunapaita nyumbani. Kwa hiyo, sababu tumepaishi na tuna mengi ambayo tunaweza kuweka na pia kukumbuka ni vema tufanye hivyo. Mtu bila historia ni kama mti bila mizizi.

Tujifunze, tupate elimu.

Twajua vema umuhimu wa elimu na tunapojinfunza ndipo twajielimisha zaidi. Kufikia mambo makubwa yatubidi kujifunza zaidi na kupata daftari za kisasa.

 

Miongoni mwa vitu vilivyomuhimu kwa kila mtu, elimu ina umuhimu mkubwa sana. Si kwamba tu ni lazima tujufunze tena mambo ya shuleni hapa bali twaweza kujinfunza kutokana na kile tunachokihisi kuwa wito wetu na hivyo kufikia malengo yetu kwa kwa uhakika. Kuelemishwa pia si eti tu mtu awe amepitia shule bali mtu yeyote anaweza kuelimishwa kadiri ya vile anavyotoka na hivyo kufikia kiwango cha kutenda mengin mema. Hayo hayajamaanisha kwamba kusoma na kuandika si muhimu sababu hata tovuti hii kufikia kuintengeneneza ku kwa sababu kuna ujuzi wa kusoma na kuandika. Na wewe mwenyewe unayesoma haya ni kwa sababu umejifunza kusoma na kuandika. Kwa hiyo ulimwengu wetu umenjaa mengi sana yaliyo muhimu na tunayoweza kuyasoma na kupata ufahamu wayo na huo ukatokea ndani mafanikio yetu.

 Jifunze pamoja nasi hapa kwenye Nikumbuke Weka Kumbukumbu ambayo kwa sasa ni Weka Gasorwe upate elimu itakayokusaidia. Tumeanzisha Weka Gasorwe Elimu kwa malengo ya ktuweszesha sisi sote kupata elimu itakayo tusaidiya katika maisha yetu. 

bottom of page