top of page
Kambi ya Gasorwe imeanzishwa kwa ajili ya kuwahifadhi watu waliokuwa wakivikimbia vita toka nchini Congo. Watu wanaoishi katika kambi ya Gasorwe ni wakimbizi kutoka Nchini Congo ya Kidemokratia.
Tukiwa watu wa tabaka mbalimbali, tumepata mahali pakuishi pakiwa ni pageni kwetu bali kwa leo, kutokana na kwamba kuna wengi wamekomalia hapa, wangine wamezaliwa hapa pia, imekuwa ni NYUMBANI.
Watu wa kambi ya Gasorwe
bottom of page