top of page

Weka habari zako, andika historia yako
Weka habari zako, andika historia yako
Jambo. Ili kumbukumbu ziweze kuwekwa, ni vema kuzihifadhi sisi wenyewe. Ukurasa huu wa mradi wetu Weka Gasorwe ni kwa ajili ya kazi hiyo kwa kila moja wetu. Karibuni sana tuweke habari zetu. Ni kwako wewe kuandika kadiri unavyojisikiya.
N.B : Fahamu kwamba habari zako zitachunguzwa kwanza kabla ya kuwekwa hadharini kwa malengo ya usalama na kuheshimisha kazi yetu.
Asante kwa kuweka habari zako
bottom of page