top of page
  • White Facebook Icon
  • White Twitter Icon
  • White YouTube Icon
  • White Instagram Icon
Pata habari za Kambini Gasorwe

Hizi ni habari na mambo mbalimbali ya kale na ya sasa kuhusu kambi yetu ya Gasorwe. Kuna mwanafilosofa alisema kwamba watu bila historia ni kama mti bila mizizi. Na sisi tuweke habari zetu hapa, habari za amani na utii wa sheria za Nchi na za Umoja wa Mataifa na UNHCR, na hivyo sisi nasi tuweze kufahamu mengi kuhusu wakati wetu uliopita na ule wa sasa.

bottom of page