Je! waweza kumfasiriya mtu habari zote kuhusu kambi ya wakimbizi ya Gasorwe/Muyinga?
- Ayivugwe Kabemba
- 15 juil. 2020
- 1 min de lecture
Dernière mise à jour : 22 juil. 2020

Nous vous permettons de gérer votre blog facilement et efficacement !
Hebu fikiriya kama mtu fulani angekuuliza kuhusu kambi ya wakimbizi ya Gasorwe. Una maneno au mambo kiasi gani ambayo waweza kumwambia.
Kambi Ya Gasorwe, kwa maneno machache
Kambi Ya gasorwe ilipoanza, ilikuwa na quartiers ndogo na pia watu wachache.
Asante sana. Ni vema tujuwe Habari za kwetu