Kifo cha Kabengele
- Weka Gasorwe
- 11 août 2021
- 1 min de lecture

Jambo. Leo tuna huzuni nyingi sana kuwajulisha kifo cha ndugu yetu na mmoja wetu sisi wakimbizi wa Kambi ya Gasorwe ambaye aliitwa kwa jina la Kabengele.
Alifika kambini Gasorwe kwa tangu zamani na hapo alipata watoto na kuwa na familia kuu. Leo amepumzika akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa wa ndani.
Comentarios