Mradi wa kuhamisha watu katika Nchi za Ng'ambo
- Ayivugwe Kabemba
- 15 juil. 2020
- 1 min de lecture
Dernière mise à jour : 22 juil. 2020

Kambini Gasorwe; baada ya watu kuishi muda mrefu wakiwa na matarajio wakurejea nchini mwao, yaani DR Congo; wengi walishtushwa na mwazo wa mradi wa kuhamisha watu katika Nchi za Ng'ambo. Kwa wengi lilikuwa ni jambo geni sana sababu hata usafiri kuelekeya Nchi tofauti na Nchi yetu hayakuwa mawazo ya watu.
Baada ya mradi wenyewe kuanza, ndiposa wengi wakawa na ufahamu zaidi na hata ikawa ni ombi la kila mmoja kuwekwa kwenye orodha wa hao watao safiri.
Asante sana kwa kutupasha habari hizi